Mikopo yote gharama yake ni riba ya 6.6% kwa mwaka ( riba ambayo inaweza kubadilika kwa maamuzi ya Mkutano Mkuu). Ipo mikopo ya aina nne inayotolewa chamani

 

  • Mkopo wa uwiano wa mshahara.
  • Mkopo wa uwiano wa michango yake ( mpaka mara 3 ya akiba zake)
  • Mkopo wa dharura
  • Mkopo wa Elimu (Elimika loan)

 

Huduma za kijamii

  • Rambirambi ( Mwanachama, mwenza au mtoto)
  • Pole ya kulazwa kitandani akiumwa kwa kuanzia siku 30 na zaidi
  • Pole ya kuumia vibaya kazini kiasi cha kuhatarisha maisha.
  • Pole ya kujeruhiwa na risasi.
  • Pole ya janga mf.( Moto, mafuriko, tetemeko au Upepo mkali nk.)