Machapisho
Sehemu ya kupakua fomu mbalimbali za SACCOS na nyaraka nyingine zilizochapishwa. Fomu zilizojazwa huletwa tawini au kutumwa kwa barua pepe.
Fomu
- Fomu ya maombi ya uongoziKwa mwanachama anayeomba kugombea nafasi ya uongozi katika chama, kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Ushirika 2013 na Kanuni zake za 2015.Novemba 2025, 163 KB, PDF
- Fomu ya kujiunga na URA MobileKujiunga na URA Mobile (USSD au App), kubadili namba ya simu, au kupata namba mpya ya siri. Jaza na uiwasilishe tawini.Julai 2025, 133 KB, PDF
