Habari na matukio

Taarifa kwa wanachama, hafla, mikutano mikuu na matukio ya ushirika.

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizindua taarifa ya utendaji wa SACCOS kwenye Kongamano la SACCA, Dar es Salaam5

TAARIFA

URA SACCOS yaongoza kitaifa katika taarifa ya utendaji wa SACCOS ya TCDC

Taarifa ya mwaka 2025 iliyozinduliwa na Waziri Mkuu inaonesha URA SACCOS inaongoza kwa akiba na amana, rasilimali, bakaa ya mikopo na mtaji.

Soma habari kamili