Mkopo wa Dharura
Hadi TZS 1,000,000 kwa mahitaji ya ghafla, miezi 1 hadi 12. Kwa kila mwanachama hai.
Nani anastahili
- Mwanachama hai wa URA SACCOS — hakuna kipimo cha akiba au mshahara
- Muda wa kurejesha: miezi 1 hadi 12
Nyaraka zinazohitajika
- Fomu ya maombi ya mkopo
- Nakala ya kitambulisho cha taifa (NIDA)
Faida
- Uamuzi wa haraka
- Riba 12% kwa mwaka, kwa salio linalopungua
- Marejesho kwa control number
