Habari zote
MATUKIO
Elimu ya ushirika kwa askari wa mafunzo ya awali, Shule ya Polisi Moshi
Mjumbe wa Bodi DCP David Misime na watendaji wa chama wamewaandaa vijana hao kuwa wanachama wa URA SACCOS kupitia elimu ya fedha ya siku tatu.
URASACCOS Admin
Mjumbe wa Bodi ya URA SACCOS, DCP David Misime, kwa kushirikiana na watendaji wa chama pamoja na uongozi wa Shule ya Polisi Moshi, wametoa elimu ya ushirika kwa askari wa mafunzo ya awali.
Elimu hiyo imefanyika tarehe 26 hadi 28 Agosti 2024 kwa lengo la kukuza elimu ya fedha na kuwaandaa vijana hao kuwa wanachama wa URA SACCOS.
Picha zaidi
Imechapishwa pia kwenye Instagram

