Habari zote

MIKUTANO

Mafunzo kwa wawakilishi na watendaji wa URA SACCOS mkoani Mbeya

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, SACP Ulrich Matei, alifungua mafunzo hayo tarehe 27 Oktoba 2021 katika Hoteli ya Mbeya Highlands.

URASACCOS Admin

Mafunzo ya wawakilishi na watendaji wa URA SACCOS LTD yalifunguliwa tarehe 27 Oktoba 2021 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ulrich Matei, katika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Mbeya Highlands.

Mafunzo hayo yalitangulia Mkutano Mkuu wa 13 wa chama uliofanyika mkoani humo tarehe 29 Oktoba 2021.

Shiriki: