Miaka 20 yaHuduma Bora

Habari zote

MIKUTANO

Taarifa kwa Wanachama – Mkoa wa Singida

Wanachama wa URA SACCOS LTD mkoa wa Singida wamepokea taarifa ya chama na taarifa ya utendaji kwa kipindi cha Januari – Oktoba 2026.

Tarehe 13/11/2026, wanachama URA SACCOS LTD mkoa wa Singida wamepata taarifa ya chama kwa ujumla. Aidha wanachama hao wamepokea taarifa ya utendaji kwa kipindi cha January - October 2026.

Kadhalika, wanachama wamepata kujulishwa juu ya maoni yaliyokusanywa kwa mkoa Singida ambayo yamewasilishwa kwa hatua zaidi, bila kusahau kukumbushwa huduma na miradi ya chama kwa ujumla.

#TunakuzaUstawiWetu #TunalindaJamiiYetu

Picha zaidi

Shiriki: