Akiba ya Kila Mwezi
Mchango wako wa kila mwezi unakatwa moja kwa moja kwenye mshahara (kanuni ya makato 667) na kuongeza uwezo wako wa kukopa.
Sifa
- Makato ya moja kwa moja kwenye mshahara — hakuna kusahau
- Akiba ndiyo msingi wa mkopo: unaweza kukopa hadi mara 3 ya akiba yako
- Unaweza kubadilisha kiasi cha mchango wako (fomu tawini au kupitia mwakilishi wako)
Mahitaji ya kufungua
- Uanachama wa URA SACCOS
- Fomu ya makato ya mshahara
